Official HD Video > Amiry ft. Aslay - "Nikupetipeti"

Baada ya kusuniliwa kwa muda mrefu sana Video ya wimbo wa NIKUPETIPETI na hatimae leo 11/17/2015 kuachiwa kwenye social Networks/mitandao ya kijamii...blogs/website mbali mbali za kitanzania na nje ya tanzania pia pata nafasi pia ya kumfahamu mmiliki wa wimbo huo.
Video ime Produced by Director Khalfani... Video yenye muonekano mzuri sana na Story mzuri sana. pata nafasi kuitazama kwa ho chini na kuipa Support yako ya nguvu.

Comments